02
May

The Handshake/ HandCheque by Grammo Suspect-Rainbow Ambassador Kenya ( Single)

#TheHandShake / #HandCheque

Intro

This is

Grammo, Suspect

Rainbow Ambassador Kenya

Aka

Mtetezi wa Raiaa

Yeeeeh yeeeh

The hand shake

Ati nini?

The hand shake

Yeeeeey

CHORUS

Salamu si mbaya

Najua zime tuliza fire

Ila mbona, hamna haya?

Mna danganya, kama yahaya!

Salamu si mbaya

Hawachomi tena ma tire.

Ila naomba,muwe na haya

Mki ibia aliye m’hire

Verse 1

Mshukiwa na mtetezi, kesi wakamaliza.

Mwananchi mwenye kesi ,hawa kumuuliza.

Ama kweli ,siasa, mchezo wa kuigiza

Uki waamini hawa,roho wata kuumiza.

Mkono mtupu haulambwi, twasema Pwani kwetu.

Salamu si mbaya ,tugawane ,kakitu

Wee ni hustler tu,yaani celeb mwitu

Ulipo mpa mkono,si ali ku cheky tu?

Ana amini ni birth right, kukalia hicho kiti.

Kama kakake,si kwa chair ame siti?

But i guess you knew all, that, ulidai pity

Mna dhani hii ni relay-ya ku pokezana vijiti?

I don’t shake hands ,wanati hugota

Sina cha kugawa mwananchi nime sota

Ati kuwa pigania? Mlikuwa mwaota.

Sasa wata tunyeshea, hadi,tuta tota.

CHORUS

Salamu si mbaya

Najua zime tuliza fire

Ila mbona, hamna haya?

Mna danganya, kama yahaya!

Salamu si mbaya

Hawachomi tena ma tire.

Ila naomba,muwe na haya

Mki ibia aliye m’ hire

Verse 2

Aki omba msamaha,haku kuwa na giza

Na nilikuwa kejani kama nime tuliza.

Maswali mengi ni kataka kuuliza.

Nika kumbuka panya, huuma aki puliza.

Raia ingine ina dai ati ni muujiza.

Tuna sahau haraka na wame dumu kutu liza

No wonder si huibiwa in the name of Jesus.

Akili ina wadudu tuna dai dumu zas.

Najua guilty concious ina ku hangaisha

Msamaha iko kwa waleee, walio poteza maisha.

Na sijui ni vipi nafsi uta safirisha.

Ili ujumbe wako, upate kufikisha.

Vituko vya raia maisha ku hatarisha.

Ujinga ujinga, mauti ku sababisha.

Ni jukumu letu amani kudumisha.

Ila, kachagua zogo, na ku vurumisha.

CHORUS

Salamu si mbaya

Najua zime tuliza fire

Ila mbona, hamna haya?

Mna danganya, kama yahaya!

Salamu si mbaya

Hawachomi tena ma tire.

Ila naomba,muwe na haya

Mki ibia aliye m’ hire

Verse 3

Waki shake hands,wana nchi tu shake vichwa

Kila kitu peupe ,hakuna kilicho fichwa

Wako ithaa,ya kusaka chwaa.

Uki zubaa tapata usha kachwa.

Kwa mataa, uta wachwa.

Kama Tergat ,wana chomoka chwaa.

You thought akipewa chance, hata itwaaaa.

Sijui kajipeleka ama ali itwa.

Na ndio ujue wao hutu,beba malenge.

Saa hii wana-bonga future nani ata beba mwenge.

Badala waajibike barabara wajenge.

Ila hawajali,wana safiri kwa ndege.

Mitano miaka baadae pesa kiasi watenge.

Waje wanunulie,wanawake vitenge.

Waki tumia ukabila wanajua taua kenge.

Na wengine washa burn cv juu ya kujifanya senge.

CHORUS

Salamu si mbaya

Najua zime tuliza fire

Ila mbona, hamna haya?

Mna danganya, kama yahaya!

Salamu si mbaya

Hawachomi tena ma tire.

Ila naomba,muwe na haya

Mki ibia aliye m’ hire

CHORUS

Salamu si mbaya

Najua zime tuliza fire

Ila mbona, hamna haya?

Mna danganya, kama yahaya!

Salamu si mbaya

Hawachomi tena ma tire.

Ila naomba,muwe na haya

Mki ibia aliye m’ hire

Outro-

HAWA WATU WAACHE KUTU BEBA UFALA.

LAKINI MWANZO, WANANCHI TUWACHE UFALA.

B records

Am out

Grammo Suspect – Rainbow Ambassador Kenya