02
May

My Identity by Grammo Suspect-Rainbow Ambassador Kenya ( EMBRACE DIVERSITY)

#MyIdentity

Chorus

This is, my identity

Not a choice, change your mentality

This is my sanity,

And it’s not, a disability × 2

Verse 1

Mke,ndio yangu jinsia ,
Kwa wake zangu hisia.

Bounce ndio yangu jinsi ya,
Kutembea mwadai najiskia.

Mapoz na nguo nazo valia

Maumbile ya kiume huashiria.

Mimi huwasikia,

“Ni mke au mme”, nyinyi huuliizia.

Niite Grammo,nita itikia,

Ukipenda, Suspect,pia

Misuli ya nguvu ninayo malkia.

Riadha,sporti,zote nafagilia

Kwenye raha,na furahia,in shit navumilia

Ndani ya hii hemisphere,naishi bila fear.

Jina Peter,uki nikatia,bro,nita ku cut ear

Lakini,unge itwa Julia,mara kwa mara,hali ninge kujulia

Mimi nilivyo,sihatia,siko evil ,me, na heart ya,

Kupenda,Jalali kani jalia,so si pressure by peer.

Udaku,sipendi fuatilia,matusi sija aminia

Mwiko,sufuria,sipendi shikilia.

Yuko,wa kuni pikia.

Nili mkatia,box akaingia.

Me hu mkumbatia,siwezi mwachilia.

Ilianza , girl, you look familiar.

Sasa mimi naye,ni familia.

Chorus

This is my identity

Not a choice, change your mentality

This is my sanity,

And it’s not, a disability × 2

Verse 2

Nadai nafasi,niko fiti,sitaki favour ,kuwa binti

Mimi kuchu,si kilema,sitaki pity

Kaa chini,sitaki kiti

Natumia kipawa,si matiti,sina shamba,si pandwi miti.

Nilitoka ocha niko city,mwili hai ku pay tikiti.

Kuchu power , ” moto kiberiti”.

Kuchu motto , “never jisaliti”.

Kaa ngumu,wasi kulawiti.

Si ngumu,tembea msikiti.

Nikipata chance,si siti.

Isiwe crime,siendi kimiti

Niishi suspect,nisiwe guilty

Grammo I value, integrity.

Coz,niko strong kwa livity.

Am my own normality.

Napepea,hadi Tahiti,kabla niwe haiti

Iskike,yangu sauti,kabla niwe maiti.

Chorus

This is my identity

Not a choice, change your mentality

This is my sanity,

And it’s not, a disability × 2

Verse 3

Mami,daikirie marua,aciare mwana taniî.

Ona niî,tikweda gwakwa,na ti atî dîmu remie.

Di kîhigada agî marauga,dîmû nanie.

No maa nî atî,maudû mothe moru dîmûkanie

Kogua,dikumakio nî adû reke meda marie

Deto ciakwa macitue irio,meda marie

Ûtukû wakinya,mîrî makomie.

Naguo rûcinî, shhhh ,matumie

Mûtûrîre wakwa,Gai autogorie.

Mîbago ya saitani,nî mîtorie

Dî wa Mwene Nyaga,duga thorie

Ukorwo wîna kîuria

No ûmurie